Muziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihi

dc.contributor.authorSamwel, Method
dc.date.accessioned2017-05-25T07:36:27Z
dc.date.available2017-05-25T07:36:27Z
dc.date.issued2013
dc.description.abstractMajigambo no moja ya vipangele maarufu katika nyimbo za muziki wa Bongo fleva au muziki wa kizazi kipya. Hata hivyo matumizi ya majigambo katika ushairi wa Bongo fleva yamekuwa yakikemewa na baadhi ya wasanii, wadau na hata hadhira ya ushairi wenyewe. Mmoja wa wasanii waliosimama kidete kupinga majigambo katika ushairi huu ni Selemani Msindi (phk Afande Sele) katika wimbo wake uitwao “Mayowe Part II”. Katika wimbo huo msanii huyo anadai kwamba ushairi wa Bongo Fleva, na muziki wenyewe kwa ujumla, haupaswi kuwa na majigambo bali unaaswa kutoa ujumbe mzito wenye manufaa kwa jamii. Afande Sele anadai kwamba si busara kujigamba juu ya mambo ambayo hujawahi kuyafanya huku kuna matatiizo mengi katika jamii kama vile njaa, UKIMWI, umiskini, uongozi mbaya na kadhhalika ambayo wasanii wangeweza kuyashughulikia katika nyimbo zao. Makala haya yanajaribu kutathmini ikiwa ni kweli majigambo si muhimu katika ushairi wa Bongo fleva. Halikadhalika, yanajadili dhima ya majigambo katika muziki huo.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4552
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTUKIen_US
dc.relation.ispartofseriesMulika No. 32, 2013: 65-81;
dc.subjectMuziki, Majigambo, Bongo Fleva, Fasihi ya Kiswahilien_US
dc.titleMuziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
masuala ya kisiasa katika mashairi ya mapenzi ya muziki wa bongo fleva.docx
Size:
30.9 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: