Muziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihi

No Thumbnail Available
Date
2013
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TUKI
Abstract
Majigambo no moja ya vipangele maarufu katika nyimbo za muziki wa Bongo fleva au muziki wa kizazi kipya. Hata hivyo matumizi ya majigambo katika ushairi wa Bongo fleva yamekuwa yakikemewa na baadhi ya wasanii, wadau na hata hadhira ya ushairi wenyewe. Mmoja wa wasanii waliosimama kidete kupinga majigambo katika ushairi huu ni Selemani Msindi (phk Afande Sele) katika wimbo wake uitwao “Mayowe Part II”. Katika wimbo huo msanii huyo anadai kwamba ushairi wa Bongo Fleva, na muziki wenyewe kwa ujumla, haupaswi kuwa na majigambo bali unaaswa kutoa ujumbe mzito wenye manufaa kwa jamii. Afande Sele anadai kwamba si busara kujigamba juu ya mambo ambayo hujawahi kuyafanya huku kuna matatiizo mengi katika jamii kama vile njaa, UKIMWI, umiskini, uongozi mbaya na kadhhalika ambayo wasanii wangeweza kuyashughulikia katika nyimbo zao. Makala haya yanajaribu kutathmini ikiwa ni kweli majigambo si muhimu katika ushairi wa Bongo fleva. Halikadhalika, yanajadili dhima ya majigambo katika muziki huo.
Description
Keywords
Muziki, Majigambo, Bongo Fleva, Fasihi ya Kiswahili
Citation