UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani

dc.contributor.authorMndeme, Mathew M.
dc.contributor.authorMvungi, Nerey H.
dc.contributor.authorKundaeli, Herald K.
dc.contributor.authorKimaro, Honest C.
dc.contributor.authorHamisi, Ndeyetabura
dc.date.accessioned2016-09-19T12:41:42Z
dc.date.available2016-09-19T12:41:42Z
dc.date.issued2016-08
dc.descriptionDeveloped inovative system, the Swahili versionen_US
dc.description.abstractKwa kuzingatia changamoto zilizooanishwa hapo juu na nyingine, watafiti wa fani ya TEHAMA wa CoICT wakiongozwa na Prof. Nerey Mvungi, Dkt. Honest Kimaro, Prof. Herald Kundaeli, Dkt. Ndyetabura Hamisi na Bw. Mathew Mndeme chini ya ufadhili wa Malamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaojishughulisha na usalama barabarani, wanafanya utafiti wa jinsi ya kutumia mifumo ya TEHEMA ili kuchangia katika kutatua matatizo ya utekelezaji wa sheria na kanuni za usalama barabarani. Kwa zaidi ya miaka miwili iliyopita, CoICT imekutana na wadau mbalimbali kama Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Ujenzi na Mawasiliano, Jeshi la Polisi, Sumatra, Tanroad, Costech, TRA, na wengine wengi ili kuelewa mifumo ya taarifa iliyopo na inayotegemewa kutumika. Hali kadhalika, kuona kama kuna uhusiano wa mifumo iliyoko kati ya taasisi moja na zingine, pamoja na changamoto za mifumo hiyo ili kutafuta suluhisho la kitafiti kupitia matumizi ya TEHAMA. Moja ya matokeo ya la utafiti huu ni mfumo wa kielekroniki ujulikanao kama Integrated Road Safety Management System au iROAD kwa kifupi.en_US
dc.description.sponsorshipTanzania Communication Regulatory Authorityen_US
dc.identifier.citationMndeme, et tal, "UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani", Habari Leo, pp 7-8, 29th August 2016en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/3732
dc.language.isoenen_US
dc.publisherHabari Leoen_US
dc.subjectusalama barabaranien_US
dc.subjecttehamaen_US
dc.subjectmifumo ya kielectronikien_US
dc.subjectusalama ya malien_US
dc.titleUDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabaranien_US
dc.typeNewspaper Articleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UDSM na Tafiti za TEHEMA Kuboresha Usalama wa Barabarani- FOR udsm Website.pdf
Size:
477.13 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili version
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: