Department of Languages and Literature
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Department of Languages and Literature by Author "Samwel, Method"
Now showing 1 - 5 of 5
Results Per Page
Sort Options
Item Affinity between Poetry and Philosophy: Investigation of Muzale’s Nakuomba(Kioo cha Lugha, Vol. 12, 2014:113-130, 2014) Samwel, MethodPoetry is a literary work which, as other genres of literature, performs two main functions in the society, educating and entertaining. In so doing, poetry, like philosophy, questions existing concepts and ideas, clarifies them, critically analyses those concepts and ideas and formulates a world view in a logical manner. Also, poetry, just like philosophy, is filled with wisdom which if accepted and utilized by the society, is likely to enhance socio-economic and political development. This paper is of the view that what philosophy and poetry do is similar to the extent that philosophy and poetry can be treated the same. That is to say, poets are philosophers of some kind. To present that, the paper analyses philosophical values of Muzale’s Nakuomba poems. Ushairi ni kazi ya fasihi ambayo, kama tanzu nyingine za fasihi, una dhima kuu mbili katika jamii, kuelimisha na kuburudisha. Katika kutimiza dhima hizo, ushairi, kama ilivyo falsafa, huhoji dhana na mawazo yaliyopo, hufafanua, na kuhakiki dhana na mawazo yaliyopo katika jamii, na huunda mtazamo mpya wenye mantiki zaidi. Aidha, ushairi, kama tu ilivyo falsafa, umejaa mambo mbalimbali ya busara ambayo kama yatakubaliwa na kutekelezwa na jamii, yanaweza kuleta maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Makala haya yanaibua hoja kuwa ushairi na falsafa zina majukumu yanayofanana sana katika jamii kiasi kwamba ushairi na falsafa huweza kuchukuliwa kama vitu vinavyofanana sana. Hii ni kusema kuwa, washairi ni wanafalsafa kwa namna fulani. Ili kubainisha hilo, makala yanachambua masuala mbalimbali ya kifalsafa yanayobainika katika mashairi yaliyomo katika diwani ya Muzale ya Nakuomba.Item African Philosophy: A Link Between Modern and Traditional African Poetry,(Journal of Education, Humanities and Sciences, Volume 3 Nos. 1 & 2, 2014:27-44, 2014) Samwel, MethodThis article argues that traditional and modern praise poetry do relate. This relationship is from the fact that the two are similar in several aspects ranging from content to form. Only one similarity among them, similarity in philosophy, is discussed here. The article, therefore, presents how different kinds of African poetry of different generations can never diverge totally from African philosophy. That is to say, both traditional and modern praise poetry carry similar beliefs; how Africans see things is viewed in similar way in the two kinds of poetry. Traditional praise poetry used here is Bahaya’s praise poetry, ebyebugo, and the praises seen in Basukuma songs while modern poetry used here is Bongo Flavor praise poetry. Bahaya and Basukuma are people who live in North – Western and Lake Zone in Tanzania. Bongo Flavor is Tanzanian youth music which is characterized by self praises. Therefore, we can simply say this article picks Tanzanian traditional and modern praise poetry as samples of African traditional and modern poetry respectively.Item Bongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?(Kioo cha Lugha No. 10 Vol. 10, TUKI: Dar es Salaam., 2012) Samwel, MethodMuziki wa Bongo Fleva umepitia kipindi kigumu cha kihistoria kwa kukataliwa na kuonekana kwa unapotosha jamii. Japo kwa sasa muziki huu unaoneana kukubalika, bado kuna baadhi ya watu wanauona kwamba unapotosha jamii. Miongoni mwa mambo yaliyoufanya muziki huu ukataliwe na kuhusishwa na upotoshaji wa jamii ni mavazi ya wasanii wake, maneno ya kihuni yanayotumika, tabia za wasanii, matumizi ya madawa ya kulevya, pombe na mengine ya aina hiyo. Makala haya yanapitia na kuangalia ikiwa dai kwamba kazi za fasihi hasa muziki wa Bongo Fleva unapotosha jamii ni jipya au la. Aidha, makala haya yanatoa mwelekeo mpya wa kufuatwa na wanajamii katika kuzihukumu kazi za fasihi za aina hiyo.Item Controversies Underlying the Genre of Short Story: A Critique of Perceptions on Kiswahili Written Short Story(DUCE, 2013) Samwel, MethodThe genre of short stories has been viewed by scholars as being very controversial and conflicting (e.g. Msokile 1992; Madumula 2009; Samwel 2012). The debates are on proper way of defining short stories, their classification with supporting examples, and their actual distinctive features. This paper, though acknowledges a need to analyze literature into genres and even sub-genres, shows how controversial a genre of short stories can be. It mainly focuses on controversies pertaining to short story as a genre of Kiswahili literature. It presents varied perceptions of various scholars on issues related to Kiswahili written short story. It also presents the “best” way of resolving the controversies.Item Muziki si Majigambo, Muziki ni Sanaa si Sawa na Sanaa ya Urembo”: Uhakiki wa Dhima za Majigambo katika Fasihi(TUKI, 2013) Samwel, MethodMajigambo no moja ya vipangele maarufu katika nyimbo za muziki wa Bongo fleva au muziki wa kizazi kipya. Hata hivyo matumizi ya majigambo katika ushairi wa Bongo fleva yamekuwa yakikemewa na baadhi ya wasanii, wadau na hata hadhira ya ushairi wenyewe. Mmoja wa wasanii waliosimama kidete kupinga majigambo katika ushairi huu ni Selemani Msindi (phk Afande Sele) katika wimbo wake uitwao “Mayowe Part II”. Katika wimbo huo msanii huyo anadai kwamba ushairi wa Bongo Fleva, na muziki wenyewe kwa ujumla, haupaswi kuwa na majigambo bali unaaswa kutoa ujumbe mzito wenye manufaa kwa jamii. Afande Sele anadai kwamba si busara kujigamba juu ya mambo ambayo hujawahi kuyafanya huku kuna matatiizo mengi katika jamii kama vile njaa, UKIMWI, umiskini, uongozi mbaya na kadhhalika ambayo wasanii wangeweza kuyashughulikia katika nyimbo zao. Makala haya yanajaribu kutathmini ikiwa ni kweli majigambo si muhimu katika ushairi wa Bongo fleva. Halikadhalika, yanajadili dhima ya majigambo katika muziki huo.