Mafunzo Kwa Wanavijiji Kuhusu Sheria Zinazohusu Usimamiaji Wa Maliasili Kwa Jamii

dc.contributor.authorMajamba, Hamudi
dc.contributor.authorMacha, Theo
dc.contributor.authorMshana, Ebenezer
dc.date.accessioned2021-05-05T14:23:47Z
dc.date.available2021-05-05T14:23:47Z
dc.date.issued2001-07
dc.description.abstractKatika kuitekeleza sera ya serikali kuhusu utunzaji maliasili kwa kuwashirikisha wananchi kuweza kutunza maliasili zilizopo kwenye maeneo yao, Timu ya Wanasheria wa Mazingira (LEAT) waliingia mkataba na Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji (MUMARU) ili kutengeneza, kutoa na kuandika kozi ya mafunzo kuhusu sheria za utunzaji maliasili zinazoendana na vijiji katika vijiji vilivyochaguliwa katika wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. LEAT na MUMARU waliingia mkataba ulioanza tarehe 30 April 2001 hadi 15 Juni 2001. Lengo na madhumuni ya mafunzo haya kimsingi ni kuongeza ufahamu wa wanavijiji na uelewa wa sheria za utunzaji maliasili kwa ujumla lakini hasa kwenye zile sheria zinazohusu maliasili zinazopatikana katika maeneo yao. Kozi pia iliandaliwa katika hali ya kuweza kuhakikisha kwamba wanavijiji wananaweza kutengeneza sheria ndogondogo kufuatana na utaratibu uliowekwa kisheria ili kutunza vizuri maliasili zao.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5745
dc.relation.ispartofseriesTechnical Report No. 21;Report
dc.subjectNatural Resources Management Law at Local Community Levelen_US
dc.titleMafunzo Kwa Wanavijiji Kuhusu Sheria Zinazohusu Usimamiaji Wa Maliasili Kwa Jamiien_US
dc.typeTechnical Reporten_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mafunzo_kwa_Wanavijiji_Kuhusu_Sheria_Zin.pdf
Size:
1.08 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Report
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: