Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania

dc.contributor.authorQorro, Martha
dc.date.accessioned2019-10-04T15:18:52Z
dc.date.available2019-10-04T15:18:52Z
dc.date.issued2005
dc.description.abstractMakala hii inaeleza matatizo yanayotokana na kutumia Kiingereza kufundishia katika shule za sekondari na vyuo nchini Tanzania. Makala inaanza kwa kufafanua tofauti zilizopo kati ya kufundisha lugha kama somo kwa lengo la kupanua mawanda ya mawasiliano; na ktumia lugha kama nyenzo ya kutolea maarifa. Makala imebainisha matatizo ya kijamii, kiutamaduni, kiuchumi, kielimu na kiakili yanayotokana na kutumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Katika kubainisha matatizo hayo; makala imetumea vielelezo mbalimbali kutoka kwa walengwa wa viwango tofauti vya elimu; kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu. Makala inahitimisha kwa kupendekeza kuwa ni vema kutumia lugha inayoeleweka; lugha ya jamii pana, Kiswahili, ili wanafunzi waweze kupata maarifa na ujuzi; sambamba na hilo, kufundisha Kiingereza kwa ufasaha zaidi kama lugha (bila kujitegemeza kuwa lugha ya kufundishia) – kama inavyofundishwa Kifaransa au Kichina.en_US
dc.identifier.citationQorro, M. 2005. Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzania. Kioo cha Lugha, Juzuu la 3, 22 -30.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5316
dc.language.isoenen_US
dc.publisherKioo cha Lughaen_US
dc.relation.ispartofseries;Juzuu la 3
dc.titleMatatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia Katika Shule za Sekondari na Vyuo vya Juu Tanzaniaen_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Matatizo ya Kutumia Kiingereza Kufundishia.docx
Size:
12.16 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
Ikisiri
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: