KISWAHILI KWA WAGENI KIONGOZI CHA MWALIMU

dc.contributor.authorMAHENGE, ELIZABETH GODWIN
dc.date.accessioned2018-09-28T07:53:42Z
dc.date.available2018-09-28T07:53:42Z
dc.date.issued2015
dc.descriptionKwa mtu "yeyote" anayetaka kuitumia "fursa" ya kujiajiri kupitia Kiswahili na achangamkie kukisoma kitabu hiki. Ni mtu yeyote kwa maana ya "Msomi" wa kuanzia kidato cha nne na kuendelea akipata mafunzo haya anaweza kumfundisha mwanafunzi wa ngazi ya kwanza ambaye hajui hata namna ya kutamka maneno ya Kiswahili kwa ufasaha. Msomi wa kidato cha sita anaweza kupata mafunzo na kumfundisha mwanafunzi wa ngazi ya kati. Na Msomi wa diploma au shahada anaweza kumfundisha mwanafunzi wa ngazi ya juu anayejifunza Kiswahili. Sharti mojawapo ni kuwa, "yeyote" anayetaka kuwa "mwalimu" wa wageni awe AMESOMA KISWAHILI katika ngazi ya sekondari na AMEFAULU vizuri somo hilo. Karibuni tutengeneze "ajira" na tuwaajiri wengine kupitia "BIDHAA" ya ufundishaji Kiswahili kwa wageni.en_US
dc.description.abstractKiswahili kwa Wageni Kiongozi ch Mwalimu ni kitabu kinachompatia "mwalimu mbinu za ufundishaji lugha ya Kiswahili kwa mgeni. Nneo mgani linamaanisha mtu ambaye si mzawa wa lugha ya Kiswahili, ina maana kuwa, mtu ambaye lugha yake ya kwanza "ya kujifunzia kusoma na kuandika" si Kiswahili. Kitabu hiki ni maalumu kwa Watanzania kwa kuwa asilimia 95% ya watu hawa ni mahiri katika lugha hii yaani waliijua na kuifahamu ugha hii si kwa kujifunza darasani bali ni kwa kutokana na mazingira, muktadha, utamaduni, tajiriba na uzoefu walionao katika jamii. Kwa maneno mengine, "kila" Mtanzania ni "mwalimu" wa Kiswahili kwa mgeni. Kwa hiyo, kitabu hiki kinamfaa mtu yeyote ambaye ni "mmilisi" wa lugha hii na anataka kujikwamua kiuchumi kwa kuwa kitabu hiki kinampatia fursa ya kujiajiri kupitia "bidhaa" hii ya Kiswahili. Kitabu kina mwongozo wa namna ya kumfundisha mwanafunzi anayeanza kujifunza na yule aliyepo katika ngazi ya kati na hata yule wa ngazi ya juu. Pia kitabu hiki kina mfano wa maswali ambayo yanamwongoza mwalimu ili afahamu namna ya kumpima mwanafunzi wa ngazi yoyote. Kitabu kinapatikana kwa shilingi 15,000/= tu. Piga simu 0692825082en_US
dc.identifier.isbn978- 9976 9912-0-8
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4927
dc.language.isoswen_US
dc.publisherEprovin Publisher Company Limiteden_US
dc.subjectKiswahili kwa wageni, jifunze kufundisha Kiswahili ili ujiajiri, Kiswahili ni ajira, Kiswahili ni mgodi wa almasien_US
dc.titleKISWAHILI KWA WAGENI KIONGOZI CHA MWALIMUen_US
dc.typeBooken_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
ikisiri ya repository.doc
Size:
78 KB
Format:
Microsoft Word
Description:
Ikisiri
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: