Bongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?

dc.contributor.authorSamwel, Method
dc.date.accessioned2017-05-25T07:40:40Z
dc.date.available2017-05-25T07:40:40Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractMuziki wa Bongo Fleva umepitia kipindi kigumu cha kihistoria kwa kukataliwa na kuonekana kwa unapotosha jamii. Japo kwa sasa muziki huu unaoneana kukubalika, bado kuna baadhi ya watu wanauona kwamba unapotosha jamii. Miongoni mwa mambo yaliyoufanya muziki huu ukataliwe na kuhusishwa na upotoshaji wa jamii ni mavazi ya wasanii wake, maneno ya kihuni yanayotumika, tabia za wasanii, matumizi ya madawa ya kulevya, pombe na mengine ya aina hiyo. Makala haya yanapitia na kuangalia ikiwa dai kwamba kazi za fasihi hasa muziki wa Bongo Fleva unapotosha jamii ni jipya au la. Aidha, makala haya yanatoa mwelekeo mpya wa kufuatwa na wanajamii katika kuzihukumu kazi za fasihi za aina hiyo.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4553
dc.language.isoswen_US
dc.publisherKioo cha Lugha No. 10 Vol. 10, TUKI: Dar es Salaam.en_US
dc.subjectBongo Fleva, Upotoshaji, Nadharia za Fasihien_US
dc.titleBongo Fleva Inapotosha Jamii: Je ni Dai Jipya katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili?en_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
bongo fleva inapoyosha jamii.docx
Size:
65.22 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: