KISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawala

dc.date.accessioned2016-05-20T13:08:38Z
dc.date.available2016-05-20T13:08:38Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionFull text can be accessed at http://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/79894en_US
dc.description.abstractMakala haya yanajadili suala la lugha na uhusiano wake na watawala na wanasiasa. Ingawa yanatoa mifano ya nafasi ya lugha katika kuwainua wanasiasa na dhima yake katika ulinzi na usalama, mjadala unalenga kuiangalia lugha ya Kiswahili na nafasi yake katika uwezekano wa kuwa lugha inayotumika Afrika yote. Lugha ya Kiswahili inalinganishwa na silaha ambayo haina budi kutumiwa na nchi za Kiafrika katika kujenga na kuulinda Uafrika. Swali kubwa ni: je, ni kwa nini wanasiasa huitumia tu lugha ili kujiinua na kisha kuiacha kando ikiisha kuwatimizia haja zao? Suala hili ni changamoto kubwa kwa wanasiasa ambao huwa watawala wanaozingatia masilahi yao binafsi. Haya ni makala ya kiuchambuzi ambayo yanalenga kuibua mjadala kuhusu hatua ambazo hazinabudi kuchukuliwa ili kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya Waafrika.en_US
dc.identifier.citationMutembei, A., 2011. Kiswahili Silaha Ya Afrika: Wanasiasa na Watawala. Kiswahili, 74(1).en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/2187
dc.language.isoswen_US
dc.titleKISWAHILI SILAHA YA AFRIKA: Wanasiasa na Watawalaen_US
dc.typeJournal Articleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kiswahili Silaha Ya Afrika.pdf
Size:
82.01 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: