Unapoteza wakati wako bure! Hakuna atakayekuamini: Usawiri wa Ubakaji katika Riwaya Teule za Kiswahili

dc.contributor.authorMosha, Ernesta S.
dc.date.accessioned2018-09-11T18:22:07Z
dc.date.available2018-09-11T18:22:07Z
dc.date.issued2016
dc.description.abstractMakala haya yanajadili tatizo la ubakaji kama lilivyosawiriwa katika riwaya teule za Kiswahili. Kwa kutumia kilongo cha ashiki ya kujamiiana, makala yanaweka wazi mbinu mbalimbali zinazotumiwa na waandishi na kuwafanya wabakaji kuonekana kuwa hawana makosa huku wanawake wanaobakwa wakibebeshwa lawama kutokana na unyanayasaji wanaopata. Mwandishi wa makala anaeleza kuwa usawiri wa aina hii unaendeleza unyanyasaji wa wanawake na unarudisha nyuma juhudi za jamii katika kuleta usawa wa wanawake na wanaume. Athari kubwa inayoweza kutokana na usawiri huu ni kuhalalisha unyanyasaji wa wanawake katika jamii inayolea na kuendeleza vitendo hivi vya kinyanyasaji. Aidha, makala yanabainisha kuwa riwaya zinaweza kutumika katika harakati za kupambana na tatizo hili la ubakaji kwa kusawiri mbinu zitakazowasaidia wanajamii kukomesha ubakaji pamoja na kukosoa vilongo vinavyoendeleza ubakaji kwa kuchomoza na kushadidia vilongo mbadala vinavyowaelimisha wanajamii namna wanavyoweza kuunga mkono harakati za kutokomeza aina hii ya unyanyasaji katika jamii ya Tanzania.en_US
dc.identifier.citationKiswahili. Juz. 79 Uk. 53 -69en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4875
dc.language.isoswen_US
dc.titleUnapoteza wakati wako bure! Hakuna atakayekuamini: Usawiri wa Ubakaji katika Riwaya Teule za Kiswahilien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Unapoteza wakati wako bure - Hakuna atakayekuamini’ -Usawiri wa Ubakaji katika Riwaya Teule za Kiswahili .pdf
Size:
527.24 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Riwayaya Kiswahili na Suala la Ubakaji
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: