FALSAFA NA USANIFU WA HOJA- KUTOKA WAYUNANI HADI WATANZANIA(WAAFRICA): Na hoja je, kuna falsafa ya mwafrika? Jenga hoja zako kwa kujua falsafa.

No Thumbnail Available
Date
2004-01-07
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Salvatorian Institute of Philosophy and Theology
Abstract
Kwa umakini wa hali ya juu docta Mihanjo anaonyesha namna gani akili na upevu wa Binadamu wa kuelewa mambo na uwezo wa kujenga hoja chini ya misingi ya nadharia maalum ulikuwa unakua kutoka hatua moja hadi nyingine. Anaonesha pia, namna gani nadharia za kifalsafa zilikuw zinazukanakutoa maelekeo ya kijamii kisiasa, kiuchumi na kimaadili katika vipindi na nyakati tofauti.
Description
Keywords
Citation
Mihanjo, A. (2004). FALSAFA NA USANIFU WA HOJA- KUTOKA WAYUNANI HADI WATANZANIA(WAAFRICA): Na hoja je, kuna falsafa ya mwafrika? Jenga hoja zako kwa kujua falsafa. Salvatorian Institute of Philosophy and Theology. Morogoro-Tanzania.