Mwingiliano wa Lugha ya Mazungumzo na ya Maandishi katika Uandishi wa Kitaaluma wa Insha za Wanafunzi

dc.contributor.authorPeterson, Rhoda
dc.date.accessioned2018-11-02T11:19:47Z
dc.date.available2018-11-02T11:19:47Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractLugha ya Mazungumzo na ya Maandishi ni njia tofauti za mawasiliano zinazotumiwa na wanadamu. Hata hivyo baadhi ya sifa za lugha ya mazungumzo hujitokeza katika lugha ya maandishi na za lugha ya maandishi hujitokeza katika lugha ya mazungumzo. Mwingiliano huo husababisha uchanganyaji wa miundo ya njia hizi mbili za mawasiliano kwa baadhi ya waandishi. Lengo la makala haya ni: Mosi, kubainisha sifa za lugha ya mazungumzo na ya maandishi hasa katika kipengele cha muundo. Pili, kuonesha mwingiliano wa sifa hizo na sababu zake. Tatu, kutathmini athari za mwingiliano huo katika uandishi wa kitaaluma wa insha za wanafunzi. Inatarajiwa kuwa makala haya yatasaidia kupanua uelewa wa wanafunzi na waandishi kwa jumla kuhusu taratibu za uandishi, hasa wa kitaaluma.en_US
dc.description.sponsorshipBinafsien_US
dc.identifier.isbn048X
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4955
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTUKIen_US
dc.relation.ispartofseriesVol. 75;
dc.subjectUandishi wa Kitaaluma, Lugha ya Mazungumzo, Lugha ya Maandishi, Kiswahilien_US
dc.titleMwingiliano wa Lugha ya Mazungumzo na ya Maandishi katika Uandishi wa Kitaaluma wa Insha za Wanafunzien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
20181102_135213[1].jpg
Size:
1.53 MB
Format:
Joint Photographic Experts Group/JPEG File Interchange Format (JFIF)
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: