Baadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala

dc.contributor.authorPeterson, Rhoda
dc.date.accessioned2021-04-20T10:17:30Z
dc.date.available2021-04-20T10:17:30Z
dc.date.issued2008
dc.description.abstractUambatizi ni mchakato mmojawapo wa kimofolojia unaohusu uundaji wa maneno. Mchakato huu huhusisha kategoria mbalimbali za maneno, kama vile nomino, vitenzi, vivumishi, vimilikishi, na vioneshi (Kiango, 2000). Vipengele mbalimbali ndani ya kategoria hizo huweza kutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine kutegemeana na sarufi ya lugha husika. Lengo la makala hii ni kuchunguza na kudhihirisha jinsi baadhi ya vipengele vya uambatizi wa vitenzi vinavyojitokeza katika Kishambala. Uchunguzi huu mdogo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaolenga kuchambua sarufi ya Kishambala, kazi iliyoanzishwa na wataalamu kadhaa, mmojawapo akiwa marehemu Prof. Besha (1985)en_US
dc.description.sponsorshipSelfen_US
dc.identifier.issn0856-552 X
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5622
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTUKIen_US
dc.relation.ispartofseriesVol.6;
dc.subjectMofolojia, uambatizi, Kishambalaen_US
dc.titleBaadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambalaen_US
dc.typeJournal Articleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
20181105_134724[1].jpg
Size:
1.71 MB
Format:
Joint Photographic Experts Group/JPEG File Interchange Format (JFIF)
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: