Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu

dc.contributor.authorMahenge, Elizabeth
dc.date.accessioned2016-04-11T12:16:26Z
dc.date.available2016-04-11T12:16:26Z
dc.date.issued2010
dc.descriptionTo get full access please visit the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/61309en_US
dc.description.abstractKazi hii ni ya utafiti wa kiisimu mitindo unaolenga kulinganisha na kulinganua kazi mbili za tamthiliya za Kiswahili ambazo ni Heshima Yangu (Muhando, 1974) na Machozi ya Mwanamke (Ngozi, 1977). Kwanza, makala inachunguza matumizi ya kauli za utendwa/utendewa katika tamthiliya hizi ili kujua kama ni ya hiari au shinikizo la muktadha. Vilevile lengo ni kujua tofauti ya matumizi hayo kwa waandishi hawa ili kuona wana mwelekeo gani. Pili, makala inatafuta sababu za matumizi haya ya kauli zenye utendwa/utendewa katika tamthiliya hizo. Baada ya hapo, makala inachunguza aina za utendwa/utendewa zilizojitokeza katika tamthiliya hizo. Dai tete linaloongoza makala hii ni kwamba, katika tamthilia hizi mbili, wanaume wanatumia kwa wingi kauli zenye utendwa kuliko wanawakeen_US
dc.identifier.citationMahenge, E., 2010. Kauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu. Kioo cha Lugha, 4(1).en_US
dc.identifier.doihttp://dx.doi.org/10.4314/kcl.v4i1.61309
dc.identifier.issn0856-552X
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/1476
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTUKIen_US
dc.subjectTamthiliaen_US
dc.subjectKauli za utendwa/utendewaen_US
dc.titleKauli za utendwa/utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yanguen_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kauli za utendwa utendewa katika tamthilia za Machozi ya Mwanamke na Heshima Yangu.pdf
Size:
130 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: