‘Mgogoro’ wa Ushairi wa Kiswahili bado Upo?: Uchunguzi wa Nyimbo za Muziki wa Hip hop na Bongo fleva nchini Tanzania

dc.contributor.authorOmari, Shani
dc.date.accessioned2020-02-13T09:35:07Z
dc.date.available2020-02-13T09:35:07Z
dc.date.issued2017
dc.description.abstractNyimbo za muziki wa Hip hop na Bongo fleva zimekuwa maarufu nchini Tanzania kuanzia miaka ya 1980. Nyimbo hizi, kama mojawapo ya tanzu au kipera cha ushairi simulizi wa Kiswahili, zimekuwa ni chanzo kizuri cha utafiti kuhusiana na masuala mbalimbali yahusikayo. Miongoni mwa mambo yanayoonekana kuanza kujitokeza katika nyimbo hizo ni mgogoro wa ushairi kama ule ambao ulitokea miaka ya 1970 katika ushairi wa Kiswahili. Makala hii inalenga kulichunguza suala hili ili kujua namna linavyojitokeza pamoja na mawanda yake. Makala ya utafiti huu imejikita hasa katika kuchunguza mashairi ya nyimbo za muziki huu ili kuchunguza viashiria vya mgogoro huu. Nadharia ya Uhemenitiki ndiyo iliyotumika katika uchambuzi wa data za makala hii. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa kuna mjadala wa chini kwa chini unaoendelea baina ya wasanii kupitia nyimbo zao kuhusiana na shairi zuri la muziki wao liweje kifani na hata kimaudhui. Hata hivyo bado ‘mgogoro’ huo haujafikia upeo mkubwa.en_US
dc.identifier.issn0856-552 X
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5380
dc.publisherKioo cha Lugha, TUKIen_US
dc.relation.ispartofseries15;
dc.subjectMgogoro’, Ushairi wa Kiswahili, Nyimbo, Hip hop na Bongo fleva, Tanzaniaen_US
dc.title‘Mgogoro’ wa Ushairi wa Kiswahili bado Upo?: Uchunguzi wa Nyimbo za Muziki wa Hip hop na Bongo fleva nchini Tanzaniaen_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
7. ‘Mgogoro’ wa Ushairi wa Kiswahili bado Upo.doc
Size:
24.5 KB
Format:
Microsoft Word
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: