Traditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzania

dc.contributor.authorSanga, Daines Nicodem
dc.date.accessioned2016-08-16T08:17:24Z
dc.date.available2016-08-16T08:17:24Z
dc.date.issued2013
dc.description.abstractKasi ya vijana katika kukuza muziki wa kizazi kipya katika kipindi cha utandawazi haiendani na kasi ya ukuzaji wa ngoma za asili. Mpaka sasa haujafanyika utafiti wa kina kuhusu kuzuka kwa tabia hii. Makala haya yanatumia mahojiano na vikundi vya ngoma vitatu halikadhalika wanamuziki wa kizazi kipya kuweka bayana chanzo cha tatizo. Aidha, makala haya yanatumia nadharia ya utendaji kama darubini kuchunguza matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni yanayowakumba vijana na namna yanavyochochea mfumuko wa tabia hii mpya. Utafiti huu umegundua kwamba uhaba wa mianya ya kiuchumi na kisiasa kwa vijana, nafasi ya ngoma za asili katika jamii ya sasa, mahusiano hasi kati ya vijana na wazee katika kuuendeleza utamaduni pamoja na vijana kutaka maendeleo ya haraka kuwa ndio chimbuko la tatizo.en_US
dc.description.sponsorshipDAADen_US
dc.identifier.issn1614-2373
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/3521
dc.language.isoenen_US
dc.publisherSwahili Forumen_US
dc.relation.ispartofseriesSWAHILI FORUM 20 (2013);
dc.subjectTraditional dancesen_US
dc.subjectBongo Flevaen_US
dc.subjectYouthen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleTraditional Dances and Bongo Fleva: A Study of Youth Participation in Ngoma Groups in Tanzaniaen_US
dc.typeJournal Articleen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Daines Sanga Bongo Fleva and Traditional Dance Article.pdf
Size:
409.68 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: