Fasihi ya Kiswahili na rushwa Tanzania: Thomas A. R. Kamugisha na Kitu Kidogo Tu

dc.contributor.authorMwaifuge, Eliah S.
dc.date.accessioned2016-09-20T20:49:23Z
dc.date.available2016-09-20T20:49:23Z
dc.date.issued2006
dc.descriptionFull text can be accessed at the following link http://www.ajol.info/index.php/kcl/article/view/61311en_US
dc.description.abstractMakala hii inajaribu kuelezea mchango wa fasihi ya Kiswahili katika kuijadili rushwa. Kwa kurejea kwenye Riwaya ya Thomas A.R. Kamugisha Kitu Kidogo tu! makala hii inasawilisha miongo takribani mitatu ya dhana ya “kitu kidogo” na athari zake kwa jamii ya Tanzania. Kwa kuijadili riwaya ya Kitu Kidogo tu! makala hii inajaribu pia kutoa picha ya Tanzania ya leo na kesho.en_US
dc.identifier.doihttp://dx.doi.org/10.4314/kcl.v4i1.61311
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/3746
dc.language.isoswen_US
dc.publisherIdara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaamen_US
dc.titleFasihi ya Kiswahili na rushwa Tanzania: Thomas A. R. Kamugisha na Kitu Kidogo Tuen_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Fasihi ya Kiswahili na rushwa Tanzania.pdf
Size:
172.63 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: