Ujumi wa Mtu Mweusi katika Kazi za Nathari za M.M. Mulokozi

dc.contributor.authorOmari, Shani
dc.date.accessioned2020-02-13T14:04:49Z
dc.date.available2020-02-13T14:04:49Z
dc.date.issued2018
dc.description.abstractMugyabuso Mlinzi Mulokozi ni mwanataaluma mahiri katika fasihi ya Kiswahili na Kiafrika. Ni mtunzi wa kazi mbalimbali kama vile riwaya, tenzi, tamthiliya na mashairi. Hata hivyo, sura hii inaangazia kazi zake za kinathari ambazo hasa zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Kazi hizo ni Ngome ya Mianzi (1991), Ngoma ya Mianzi (1991) na Moto wa Mianzi (1996). Vitabu hivi vinahusu mapambano baina ya Wahehe na Wadachi mnamo miaka ya 1891-1898. Tunachunguza namna vipengele vya Ujumi wa Mtu mweusi vinavyojitokeza katika kazi hizo. Baada ya utangulizi huu mfupi, sehemu inayofuata inawasilisha muhtasari wa vitabu teule. Sehemu hii itafuatiwa na fasili ya Ujumi wa Mtu mweusi kisha uchambuzi wa Ujumi wa Mtu mweusi katika kazi teule za Mulokozi. Umuhimu wa Ujumi wa Mtu mweusi kifasihi na kijamii pia unazungumziwa na mwisho kabisa ni hitimisho.en_US
dc.identifier.isbn978 9976 5316 19
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5381
dc.publisherFasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika (Shani Omari na Method Samwel) (wah.), TUKIen_US
dc.subjectUjumi, Mtu Mweusi, Nathari, Mulokozien_US
dc.titleUjumi wa Mtu Mweusi katika Kazi za Nathari za M.M. Mulokozien_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
9. Ujumi wa Mtu Mweusi katika Kazi za Nathari za M.M. Mulokozi.doc
Size:
25 KB
Format:
Microsoft Word
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: