Department of Kiswahili Language and Linguistics
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Department of Kiswahili Language and Linguistics by Subject "Mofolojia, uambatizi, Kishambala"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Baadhi ya Vipengele vya Uambatizi wa Vitenzi katika Kishambala(TUKI, 2008) Peterson, RhodaUambatizi ni mchakato mmojawapo wa kimofolojia unaohusu uundaji wa maneno. Mchakato huu huhusisha kategoria mbalimbali za maneno, kama vile nomino, vitenzi, vivumishi, vimilikishi, na vioneshi (Kiango, 2000). Vipengele mbalimbali ndani ya kategoria hizo huweza kutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine kutegemeana na sarufi ya lugha husika. Lengo la makala hii ni kuchunguza na kudhihirisha jinsi baadhi ya vipengele vya uambatizi wa vitenzi vinavyojitokeza katika Kishambala. Uchunguzi huu mdogo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaolenga kuchambua sarufi ya Kishambala, kazi iliyoanzishwa na wataalamu kadhaa, mmojawapo akiwa marehemu Prof. Besha (1985)