Browsing by Author "Mndeme, Mathew M."
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item UDSM Researchers Comes with an Inspiring ICT-based Solution to Improve Road Safety(Guardian News Paper, 2016-08) Mndeme, Mathew M.; Mvungi, Nerey H.; Kundaeli, Herald K.; Kimaro, Honest C.; Hamisi, NdeyetaburaResearchers at CoICT lead by Prof Nerey Mvungi, Dr. Honest Kimaro, Prof. Herald Kundaeli, Dr. Hamisi Ndetabura, and Mathew Mndeme, are undertaking a scientific research on how authorities responsible with road safety management can leverage on the potential of ICT-based systems in addressing safety challenges. This research project is supported by TCRA in its efforts to advance ICT researches and innovations in the country. Since the inception of this study over two years ago, CoICT researchers have consulted a number of stakeholders including all relevant government authorities/institutions involved with transportation and road safety management, the focus being to understand existing information systems and those in pipeline for implementation. Researchers have established relationships among these systems and their challenges that can be addressed through ICT innovative solutions. One of the immediate outputs to the study is the development of an Integrated Road Safety Management System, Christianised as iROADItem UDSM waja na Suhuhisho la Kielekroniki Kuboresha Usalama wa Barabarani(Habari Leo, 2016-08) Mndeme, Mathew M.; Mvungi, Nerey H.; Kundaeli, Herald K.; Kimaro, Honest C.; Hamisi, NdeyetaburaKwa kuzingatia changamoto zilizooanishwa hapo juu na nyingine, watafiti wa fani ya TEHAMA wa CoICT wakiongozwa na Prof. Nerey Mvungi, Dkt. Honest Kimaro, Prof. Herald Kundaeli, Dkt. Ndyetabura Hamisi na Bw. Mathew Mndeme chini ya ufadhili wa Malamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaojishughulisha na usalama barabarani, wanafanya utafiti wa jinsi ya kutumia mifumo ya TEHEMA ili kuchangia katika kutatua matatizo ya utekelezaji wa sheria na kanuni za usalama barabarani. Kwa zaidi ya miaka miwili iliyopita, CoICT imekutana na wadau mbalimbali kama Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Ujenzi na Mawasiliano, Jeshi la Polisi, Sumatra, Tanroad, Costech, TRA, na wengine wengi ili kuelewa mifumo ya taarifa iliyopo na inayotegemewa kutumika. Hali kadhalika, kuona kama kuna uhusiano wa mifumo iliyoko kati ya taasisi moja na zingine, pamoja na changamoto za mifumo hiyo ili kutafuta suluhisho la kitafiti kupitia matumizi ya TEHAMA. Moja ya matokeo ya la utafiti huu ni mfumo wa kielekroniki ujulikanao kama Integrated Road Safety Management System au iROAD kwa kifupi.