• Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
  • Communities & Collections
  • All of Repository
  • Log In
    New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "MAHENGE, ELIZABETH GODWIN"

Now showing 1 - 4 of 4
Results Per Page
Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    CHANGAMOTO
    (TUKI, 2010) MAHENGE, ELIZABETH GODWIN
    Tamthiliya hii ya CHANGAMOTO inagusia changamoto wanazokumbana nazo watu wenye mahitaji maalumu katika muktadha wa Bara la Afrika hususani Tanzania. Tamthiliya inasawiri changamoto wanazokumbana nazo watu wenye ulemavu wa viungo, viziwi, wenye ualbino, na bubu.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    KISWAHILI BIDHAA ADIMU:JIAJIRI
    (FEDAM LANGUAGE SERVICES CO. LTD, 2011) MAHENGE, ELIZABETH GODWIN
    Kitabu hiki kinachambua nafasi ya Kiswahili kama kitega uchumi. Je, bidhaa hii inawezaje kumkomboa na kumtajirisha Mswahili? Jibu la swali hili ni kwamba, kwa kutafsiri kazi mbalimbali zilizoandikwa kwa lugha nyinginezo – kunaweza kumpa soko la ajira mzungumzaji wa Kiswahili. Zipo fursa mbalimbali ambazo zitamwezesha mzungumzaji wa lugha hii kuondokana na umaskini wa kipato. Kitabu hiki kitabainisha kinagaubaga namna ya kutajirika kwa kupitia lugha ya Kiswahili.
  • No Thumbnail Available
    Item
    KISWAHILI KWA WAGENI KIONGOZI CHA MWALIMU
    (Eprovin Publisher Company Limited, 2015) MAHENGE, ELIZABETH GODWIN
    Kiswahili kwa Wageni Kiongozi ch Mwalimu ni kitabu kinachompatia "mwalimu mbinu za ufundishaji lugha ya Kiswahili kwa mgeni. Nneo mgani linamaanisha mtu ambaye si mzawa wa lugha ya Kiswahili, ina maana kuwa, mtu ambaye lugha yake ya kwanza "ya kujifunzia kusoma na kuandika" si Kiswahili. Kitabu hiki ni maalumu kwa Watanzania kwa kuwa asilimia 95% ya watu hawa ni mahiri katika lugha hii yaani waliijua na kuifahamu ugha hii si kwa kujifunza darasani bali ni kwa kutokana na mazingira, muktadha, utamaduni, tajiriba na uzoefu walionao katika jamii. Kwa maneno mengine, "kila" Mtanzania ni "mwalimu" wa Kiswahili kwa mgeni. Kwa hiyo, kitabu hiki kinamfaa mtu yeyote ambaye ni "mmilisi" wa lugha hii na anataka kujikwamua kiuchumi kwa kuwa kitabu hiki kinampatia fursa ya kujiajiri kupitia "bidhaa" hii ya Kiswahili. Kitabu kina mwongozo wa namna ya kumfundisha mwanafunzi anayeanza kujifunza na yule aliyepo katika ngazi ya kati na hata yule wa ngazi ya juu. Pia kitabu hiki kina mfano wa maswali ambayo yanamwongoza mwalimu ili afahamu namna ya kumpima mwanafunzi wa ngazi yoyote. Kitabu kinapatikana kwa shilingi 15,000/= tu. Piga simu 0692825082
  • No Thumbnail Available
    Item
    NASEMA KISWAHILI 1: BEGINNER'S BOOK
    (LULU http://www.lulu.com/author/content_revise.php?fCID=13733285, 2013-01-12) MAHENGE, ELIZABETH GODWIN
    Kiswahili noun classes are the backbone of the language. When you master it, you have done with Kiswahili. Many Kiswahili books are not user friendly. This is due to how they have treated these noun classes but, with this manual you will enjoy yourself. All nouns are treated in appropriate noun class with other grammatical processes like possessive marker, relative markers and many others. You don't need to panic while you hold this book in your hands. Sample questions are given and their answers at the back. So you can do self teaching of this language with this book. A teacher is an added advantage for pronunciation purposes and listening skills. This is special book for beginner's. Enjoy your study.

University of Dar es Salaam © 2025

  • RIMS
  • UDSM MAIL
  • ARIS
  • LIBRARY REPOSITORY