Majamba, HamudiMacha, TheoMshana, Ebenezer2021-05-052021-05-052001-07http://hdl.handle.net/20.500.11810/5745Katika kuitekeleza sera ya serikali kuhusu utunzaji maliasili kwa kuwashirikisha wananchi kuweza kutunza maliasili zilizopo kwenye maeneo yao, Timu ya Wanasheria wa Mazingira (LEAT) waliingia mkataba na Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji (MUMARU) ili kutengeneza, kutoa na kuandika kozi ya mafunzo kuhusu sheria za utunzaji maliasili zinazoendana na vijiji katika vijiji vilivyochaguliwa katika wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. LEAT na MUMARU waliingia mkataba ulioanza tarehe 30 April 2001 hadi 15 Juni 2001. Lengo na madhumuni ya mafunzo haya kimsingi ni kuongeza ufahamu wa wanavijiji na uelewa wa sheria za utunzaji maliasili kwa ujumla lakini hasa kwenye zile sheria zinazohusu maliasili zinazopatikana katika maeneo yao. Kozi pia iliandaliwa katika hali ya kuweza kuhakikisha kwamba wanavijiji wananaweza kutengeneza sheria ndogondogo kufuatana na utaratibu uliowekwa kisheria ili kutunza vizuri maliasili zao.Natural Resources Management Law at Local Community LevelMafunzo Kwa Wanavijiji Kuhusu Sheria Zinazohusu Usimamiaji Wa Maliasili Kwa JamiiTechnical Report