Tenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevala

dc.contributor.authorMwagike, Asifiwe
dc.contributor.authorOmari, Shani
dc.date.accessioned2020-02-13T09:28:47Z
dc.date.available2020-02-13T09:28:47Z
dc.date.issued2016
dc.description.abstractUtenzi wa Kalevala ulichapishwa kwa mara ya kwanza kwa Kifini mwaka 1849. Tangu hapo utenzi huo ulitafsiriwa katika lugha zaidi ya arobaini kama vile Kijerumani (1852), Kiingereza (1880), Kirusi (1888), Kihispaniola (1953) na Kiswahili (1992). Hii dhahiri kuwa tafsiri ni moja ya nyenzo muhimu katika maendeleo ya taaluma mbalimbali na mawasiliano ulimwenguni kote. Lengo la makala hii ni kuchunguza namna ruwaza ya shujaa katika utenzi huu, ambao ni kazi muhimu ya tafsiri kwa Kiswahili na katika ushairi wa Kiswahili, inavyojenga na kuibua falsafa katika utenzi huo. Makala hii inatumia nadharia ya ruwaza ya shujaa ya Clyde Kluckhohn (1965) ili kuibua falsafa katika utenzi husika. Data za makala hii zimepatikana baada ya usomaji makini wa utenzi husika pamoja na machapisho mbalimbali yahusikayo. Makala hii imebaini kuwa ruwaza ya shujaa si tu njia ambazo mashujaa katika kazi ya fasihi wanapitia bali pia ni mkabala au nadharia muhimu ya kiuchambuzi wa kazi ya fasihi, hususan utendi.en_US
dc.identifier.isbn978-9976-9935-1-6
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5379
dc.publisherNadharia za Tafsiri, Ukalimani na Uundaji wa Istilahi, Daud Publishing Company Ltden_US
dc.subjectRuwaza ya Shujaa, Falsafa, Utenzi wa Kalevalaen_US
dc.titleTenzi Tafsiriwa katika Kiswahili: Ruwaza ya Shujaa Inavyojenga Falsafa katika Utenzi wa Kalevalaen_US
dc.typeBook chapteren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
6. TENZI TAFSIRIWA KALEVALA.doc
Size:
100.5 KB
Format:
Microsoft Word
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: