Uliberali mamboleo ndani ya MKUKUTA

dc.contributor.authorKweka, Opportuna Leo
dc.date.accessioned2016-09-21T17:24:35Z
dc.date.available2016-09-21T17:24:35Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractMakala hii inapitia mikakati ya maendeleo inayoongoza Tanzania leo. Ingawa mikakati hii inafuatwa na nchi nyingi masikini makala imeichukulia Tanzania kama mfano na kulinganisha tulikotoka, enzi za mikakati ya kupunguza umasikini. Makala inajaribu kueleza kuwa mikakati tunayofuata sasa ya kupunguza umasikini inafuata itikadi ya uliberali – mamboleo inayosisitiza sana ukuaji wa uchumi pasipo kuangalia usawa katika ugawanyaji wa faida itokanayo na mapato haya ya uchumi.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4178
dc.language.isootheren_US
dc.publisherBulletion of Mwalimu Nyerere Chairen_US
dc.subjectneoliberalism, poverty reduction, decentralizationen_US
dc.titleUliberali mamboleo ndani ya MKUKUTAen_US
dc.title.alternativeNeoliberalism in the Poverty Reduction Strategyen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Uliberali (1).pdf
Size:
311.9 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: