Filamu za Kiswahili nchini Tanzania: Athari za ‘Kauli’ za Wasambazaji-Wauzaji kwa Wasanii na Jamii

dc.contributor.authorShule, Vicensia
dc.date.accessioned2016-04-01T17:12:41Z
dc.date.available2016-04-01T17:12:41Z
dc.date.issued2014
dc.description.abstractBaadhi ya tafiti zilizofanyika katika tasnia ya filamu za video (filamu) za Kiswahili nchini Tanzania zimeonesha kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya utayarishaji filamu na uuzaji wake. Uhusiano huo ni ule unaoonesha jinsi mchakato wa utayarishaji filamu unavyoweza kuathiri ubora wa filamu, hususan ukosefu wa elimu na taaluma ya filamu kwa wasanii. Pamoja na hayo, tafiti hizo hazikuweza kuweka bayana namna usambazaji unavyoweza kuathiri ubora wa filamu. Makala haya yanalenga kujenga hoja kuwa ubora wa filamu Tanzania ni suala linalochangamana zaidi na mfumo wa usambazaji na uuzaji wa filamu kuliko utayarishaji. Lengo hasa ni kuonesha jinsi ambavyo ubora wa filamu za Tanzania unavyopangwa na wasambazaji-wauzaji na siyo warudufishaji-wasambazaji au wasanii-watayarishaji kama inavyoonekana katika tafiti zilizotangulia. Kauli mbalimbali za wadau hao ndizo ambazo tunazichanganua katika makala haya.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/123456789/1412
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTaasisi ya Taaluma za Kiswahilien_US
dc.relation.ispartofseriesKioo cha Lugha Juz.12;
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.subjectFilamu za Kiswahili
dc.titleFilamu za Kiswahili nchini Tanzania: Athari za ‘Kauli’ za Wasambazaji-Wauzaji kwa Wasanii na Jamiien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Vicensia Shule Kauli za Wasambazaji.pdf
Size:
12.89 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: