Dhana ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar: Uchambuzi kupitia Lugha ya Kiswahili

dc.contributor.authorMutembei, Aldin K.
dc.date.accessioned2019-07-29T15:30:55Z
dc.date.available2019-07-29T15:30:55Z
dc.date.issued2016-02-15
dc.description.abstractMuungano kati ya watu wa Tanganyika na Zanzibar unachunguzwa kihistoria ambapo hoja za kijamii, kisiasa na kiuchumi hutolewa katika kuhalalisha uhistoria wa muungano huo wa kipekee. Ingawa kuna baadhi ya mijadala ya kikatiba kuhusu nguvu za kisheria za muungano, hoja za kiisimu ni mara chache hutolewa ili kuongezea uhalali wa muungano huo unaobishaniwa. Makala hii inatoa mkabala wa kiisimu kuhusu muungano. Kwa kutumia nadharia ya usafiri kama ilivyoelezwa na Edward said (1983), makala inajadili kuenea kwa Kiswahili Sanifu katika Tanzania ambapo kuna lugha zaidi ya 123 huku nyingine zikiwa na sarufi na kamusi zilizoandikwa. Hoja ya Kiswahili sanifu inafafanuliwa zaidi kwa kugawanywa katika vipengele kadha kwa mujibu wa nadharia ya usafiri. Mwishowe makala inaonesha kuwa lugha na fasihi ya Kiswahili huku vikiongozwa na Kiswahili sanifu vinajenga hoja ya nguvu kuhusu muumano na uhalali wa muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar.en_US
dc.identifier.citationMutembei, A.K, 2016en_US
dc.identifier.issn2026 8297
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/5293
dc.language.isoenen_US
dc.relation.ispartofseriesJULACE Vol. 1;No. 2
dc.subjectLugha ya Kiswahilien_US
dc.subjectFasihi ya Kiswahilien_US
dc.subjectMuunganoen_US
dc.subjectKamati ya Lugha Afrika Masharikien_US
dc.subjectNadharia ya Usafirien_US
dc.titleDhana ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar: Uchambuzi kupitia Lugha ya Kiswahilien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.docx
Size:
17.15 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: