Misemo ya ‘Vyuma Vimekaza’: Uchambuzi wa Mtindo na Dhima yake
dc.contributor.author | Omari, Shani | |
dc.date.accessioned | 2020-02-20T08:03:44Z | |
dc.date.available | 2020-02-20T08:03:44Z | |
dc.date.issued | 2019 | |
dc.description.abstract | Misemo ni kipera kimojawapo cha semi. Ni fungu la maneno lenye maana maalumu, ujumbe kwa muhtasari na ukweli fulani. Misemo mingi huibuka na kutumika kulingana na muktadha fulani wa kijamii. Hivi karibuni (kuanzia mwaka 2016) kumezuka misemo anuwai miongoni mwa Watanzania yenye kuhusisha neno ‘vyuma’ ili kuwasilisha hali au ujumbe fulani. Miongoni mwa misemo hiyo ni ‘Vyuma Vimekaza’, ‘Vyuma Vimebana’, ‘Vyuma Vimeachia’ na kadhalika. Lengo la makala hii ni kujadili maana ya misemo hiyo miongoni mwa watumiaji wake katika muktadha wa sasa nchini Tanzania. Aidha, makala inachambua mitindo iliyotumika katika misemo hiyo na dhima zake. Misemo hii imekusanywa kutoka kwa jamii (baadhi ya watumiaji wa misemo hii), mitandaoni na magazetini. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba misemo hii inatumia mitindo mbalimbali na ina dhima kadhaa kifasihi na kijamii. | en_US |
dc.description.sponsorship | Self | en_US |
dc.identifier.issn | 2546-2229 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/20.500.11810/5387 | |
dc.publisher | Kiswahili Journal, TUKI, University of Dar es Salaam | en_US |
dc.relation.ispartofseries | 82; | |
dc.subject | Misemo, ‘Vyuma Vimekaza’, Mtindo na Dhima, Tanzania | en_US |
dc.title | Misemo ya ‘Vyuma Vimekaza’: Uchambuzi wa Mtindo na Dhima yake | en_US |
dc.type | Journal Article, Peer Reviewed | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- 11. MISEMO YA VYUMA VIMEKAZA-Ikisiri.doc
- Size:
- 23 KB
- Format:
- Microsoft Word
- Description:
- Main article
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: