Kukitandawazisha Kiswahili kupitia Simu za Kiganjani: Tafakari kuhusu Isimujamii

dc.contributor.authorMutembei, Aldin K.
dc.date.accessioned2016-05-20T12:59:22Z
dc.date.available2016-05-20T12:59:22Z
dc.date.issued2011
dc.description.abstractMojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani1 na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Mahali ambapo hakukuwa na mawasiliano kabisa, kama sehemu nyingi za vijiji vya Tanzania, siku hizi kuna mawasiliano kwa njia ya simu hizi za kiganjani na lugha inayotumika katika mawasiliano haya ni Kiswahili. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengine si rahisi kuiona nje ya wigo huu wa kiutandawazi ambao pia unajumuisha mawasiliano kwa barua pepe, na maongezi katika tovuti. Katika lugha hii ya kiutandawazi, watu huwasiliana kwa kutumiana matini fupi fupi zenye mchanganyiko wa maneno na namba, na hivyo kuunda lugha tofauti na iliyozoeleka katika jamii nyingine.en_US
dc.identifier.citationMutembei, A., 2011. Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii.en_US
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/2186
dc.language.isoswen_US
dc.titleKukitandawazisha Kiswahili kupitia Simu za Kiganjani: Tafakari kuhusu Isimujamiien_US
dc.typeJournal Article, Peer Revieweden_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kukitandawazisha Kiswahili kupitia Simu za Kiganjani. Tafakari kuhusu Isimujamii.pdf
Size:
264.69 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: