CHANGAMOTO

dc.contributor.authorMAHENGE, ELIZABETH GODWIN
dc.date.accessioned2018-10-24T10:31:49Z
dc.date.available2018-10-24T10:31:49Z
dc.date.issued2010
dc.descriptionTamthiliya hii inaweza kutumika kama "darasa" kuhusiana na mambo ya ulemavu. Tamthiliya hii inajaribu kujenga fikra za ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu katika mazingira ambamo wametengwa ama na wanajamii wenzao wasio na ulemavu kutokana na "mitazamo hasi" waliyonayo; au wanatengwa kutokana na miundo mbinu isiyo Rafiki katika mazingira au maofisi hasahasa katika mfumo wa elimu, afya, ajira kwa kutaja kwa uchache.en_US
dc.description.abstractTamthiliya hii ya CHANGAMOTO inagusia changamoto wanazokumbana nazo watu wenye mahitaji maalumu katika muktadha wa Bara la Afrika hususani Tanzania. Tamthiliya inasawiri changamoto wanazokumbana nazo watu wenye ulemavu wa viungo, viziwi, wenye ualbino, na bubu.en_US
dc.identifier.isbn978-9987-531-14-1
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/20.500.11810/4950
dc.language.isoswen_US
dc.publisherTUKIen_US
dc.subjectCHANGAMOTO ZA ULEMAVU, HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU, UNYANYAPAA, UBAGUZIen_US
dc.titleCHANGAMOTOen_US
dc.typeBooken_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
CHANGAMOTO udsm repository.doc
Size:
56 KB
Format:
Microsoft Word
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: